Kikao hicho kilihudhuriwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu L. Nchemba, Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba, na Watendaji kutoka Wizara ya Nishati, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) pamoja na Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa pamoja (PBPA),.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akiongoza kikao cha Kujadili Mikakati ya upatikanaji wa nishati ya mafuta ya petroli nchini kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage Wizara ya Fedha tarehe 11 Septemba, 2023 Jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment