MATUKIO KATIKA PICHA :KIKAO KUHUSU UTEKELEZAJI WA MASUALA YA LISHE NA SUN GLOBAL COORDINATOR - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, September 5, 2023

MATUKIO KATIKA PICHA :KIKAO KUHUSU UTEKELEZAJI WA MASUALA YA LISHE NA SUN GLOBAL COORDINATOR

Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Paul Sangawe akizungumza wakati wa kikao kilichowakutanisha wadau wa masuala ya lishe kujadili kuhusu utekelezaji wa masuala ya lishe na Sun Global Coordinator. Kikao kilifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Septemba, 2023.
Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwenye Masuala ya Lishe Bi. Afshan Khan akieleza na kuchangia kuhusu masuala ya lishe nchini, wakati wa kikao kuhusu utekelezaji wa masuala ya lishe na Sun Global Coordinator kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) Dkt. Germana Leyna akizungumza masuala ya lishe wakati wa kikao kuhusu utekelezaji wa masuala ya lishe na Sun Global Coordinator kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa kikao kuhusu utekelezaji wa masuala ya lishe na Sun Global Coordinator kilichofanyika Jijini Dar es Salaam wakifuatilia hoja zilizojadiliwa wakati wa kiako hicho.
Mwakilishi wa wadau wa Lishe nchini kutoka UNICEF Bw. Patrick Codjia akizungumza jambo wakati wa kikao kuhusu utekelezaji wa masuala ya lishe na Sun Global Coordinator.
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Lishe kutoka Wizara ya Afya Bi. Neema Joshua akizungumza wakati wa kikao hicho.
Wajumbe wa kikao kuhusu utekelezaji wa masuala ya lishe na Sun Global Coordinator wakiwa katika picha ya Pamoja mara baada ya kuhitimisha kikao hicho kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa wadau wa Lishe nchini kutoka UNICEF Bw. Patrick Codjia akiteta jambo na wajumbe wa kikao kuhusu utekelezaji wa masuala ya lishe na Sun Global Coordinator .
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment