MATUKIO KATIKA PICHA:WAZIRI MKUU AKIZUNGMZA NA WABUNGE MBALIMBALI KATIKA VIWANJA VYA BUNGE - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, September 7, 2023

MATUKIO KATIKA PICHA:WAZIRI MKUU AKIZUNGMZA NA WABUNGE MBALIMBALI KATIKA VIWANJA VYA BUNGE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale kwenye viwanja via Bunge jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. Katikati ni Mbunge wa Mikumi, Dennis Londo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment