Naibu Waziri Ummy ashiriki kikao cha Mawaziri wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu dhidi ya UKIMWI- GLIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, September 15, 2023

Naibu Waziri Ummy ashiriki kikao cha Mawaziri wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu dhidi ya UKIMWI- GLIA


Matukio katika picha wakati wa kikao cha Mawaziri wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu dhidi ya UKIMWI (GLIA) kilichofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 15 Septemba,2023.

Kikao hicho kilihusisha nchi Sita ikiwemo Burundi, DRC Congo, Tanzania, Kenya, Uganda, na Rwanda zinazounda umoja huo

No comments:

Post a Comment