UCHAGUZI MBARALI NA KATA SITA WAENDELEA KWA AMANI NA UTULIVU - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, September 19, 2023

UCHAGUZI MBARALI NA KATA SITA WAENDELEA KWA AMANI NA UTULIVU

Mbarali -MBEYA

Wapige Kura wakiendelea kujitokeza kwemye vituo vya kupiga kura katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Mbarali na Udiwani kata sita za Tanzania bara ambao unafanyika Leo Jumanne, 19 September, 2023.

Mpiga Kura mwenye mahitaji maalum akisaidiwa kuingia katika kituo cha kupigia kura ili aweze kutimiza haki yake ya kumchagua Kiongozi anayemtaka katika kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kata Na.2, katika Kata ya Mfaranyaki Halmashauri ya Manispaa ya Songea, leo tarehe 19/09/2023.

No comments:

Post a Comment