Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa (NEC) akipokelewa katika eneo la Mji Mdogo wa Misigiri wilaya Iramba mkoani Singida katika hafla ya kumkabidhi mkandarasi kuanza ujenzi kiwango cha lami barabara ya kuanzia Singida Mjini (eneo la Sabasaba) kwenda Sepuka-Ndago-Kizaka (Kilomita 77.6) ambao utagharimu bilioni 88.5, leo Septemba 09, 2023.
Waziri Bashungwa ameambatana na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), pamoja na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb).
No comments:
Post a Comment