Na Okuly Julius-Dodoma
Ushiriki Wa Wizara ya Madini na Taasisi zake kwenye Maonesho katika Hafla ya Uzinduzi wa Mitambo ya Uchorongaji kwa ajili ya wachinbaji wadogo na Mitambo ya STAMICO Leo Oktoba 21,2023 Jijini Dodoma.
Ambapo Mgeni Rasmi katika hafla hiyo anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
##Madini ni Maisha na Utajiri##
##RAIS SAMIA MGODINI##
No comments:
Post a Comment