RAIS SAMIA AHUDHURIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA BARAZA LA UTALII DUNIANI NCHINI RWANDA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, November 2, 2023

RAIS SAMIA AHUDHURIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA BARAZA LA UTALII DUNIANI NCHINI RWANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kigali nchini Rwanda, leo Novemba 2, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Kigali nchini Rwanda, leo Novemba 2, 2023
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Rwanda, Paul Kagme pamoja na viongozi mbalimbali wakati wakishiriki Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC)
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliihudhuria Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika mjini Kigali
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliihudhuria Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika mjini Kigali

No comments:

Post a Comment