WAZIRI BASHUNGWA APOKEA TAARIFA YA UTELEZAJI WA MIRADI KWA UTARATIBU WA PPP. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, November 3, 2023

WAZIRI BASHUNGWA APOKEA TAARIFA YA UTELEZAJI WA MIRADI KWA UTARATIBU WA PPP.


Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amepokea taarifa Utekelezaji wa Miradi ya Barabara za Mwendokasi (Expressway) kwa Utaratibu wa Makubaliano ya kimkataba baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP).

Taarifa hiyo imewasilishwa leo tarehe 03 Novemba 2023 na Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila


Kikao hicho kimehudhuriwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Eng. Godfrey Kasekenya, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour, Naibu Katibu Mkuu Bw. Ludovick Nduhiye pamoja na baadhi ya Wakurugenzi wa Wizara ya Ujenzi na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi.

No comments:

Post a Comment