Mkuu wa Oparesheni za Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Nassoro Sisiwaya amewataka askari wa Kikosi cha usalama Mkoa wa Simiyu kufanya kazi kwa weledi na kuchukua hatua kwa dereva cha wasiofuata sheria, kanuni na taratibu za matumizi sahihi ya barabara.
ACP Sisiwaya aliyasema hayo Disemba 16, 2023 akiwa Mkoani Simiyu na kuzungumza na askari wa kikosi hicho sambamba na kufanya ukaguzi wa mfumo wa ukaguzi wa madeni (TIMS) katika magari ambayo yalitozwa faini na hayakuweza kulipa kwa wakati.
No comments:
Post a Comment