Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Baba Askofu Mstaafu Dkt. Erasto Kweka, wakati wa Ibada Maalumu ya Kuaga Mwili leo Disemba 5, 2023 Usharika wa Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro. Kulia kwake ni Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini, Dkt. Fredrick Onaeli Shoo. |
No comments:
Post a Comment