Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akishirikiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista J. Mhagama pamoja na Waziri wa Madini, Anton Mavunde kusimamia uzoaji wa tope na kurudisha hali nzuri ya miundombinu katika Mji wa Katesh wilayani Hanang, leo tarehe 05 Disemba 2023
Tuesday, December 5, 2023
New
MAWAZIRI WAWEKA KAMBI KATESH - HANANG KURUDISHA HALI NZURI YA MIUNDOMBINU.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment