Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 ameongoza kikao cha Kumi cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar tarehe 15 Januari, 2024.Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulah ambaye ni Mwenyekiti Mwenza wa Kamati hiyo.
Tuesday, January 16, 2024
New
MATUKIO KATIKA PICHA : KIKAO CHA KUMI CHA KAMATI KUU YA KITAIFA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022
Subscribe to:
Post Comments (Atom)













No comments:
Post a Comment