Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu Nishati safi ya kupikia, katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma.
Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko
Na Edward Winchislaus,OKULY BLOG, DODOMA Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Carolyne Nombo, ameeleza kuridhis...
No comments:
Post a Comment