Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu Nishati safi ya kupikia, katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma.
Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe wakati wa ziara yake ya kuwas...
No comments:
Post a Comment