![]() |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akiwasili bungeni kushiriki katika Bunge la 12 Mkutano wa 14, kikao cha Tano Jijini Dodoma Februari 5, 2024. |
![]() |
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akiwasili bungeni Dodoma, wakati wa Bunge la 12 Mkutano wa kumi na nne kikao cha Tano Jijini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment