RAIS WA NAMIBIA DKT. HAGE GEINGOMB AFARIKI DUNIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, February 4, 2024

RAIS WA NAMIBIA DKT. HAGE GEINGOMB AFARIKI DUNIA


RAIS wa Namibia, Hage Geingob amefariki Dunia mapema leo Jumapili Februari 4, 2024 katika hospitali Lady Pohamba mjini Windhoek akiwa na umri wa miaka 82 baada ya kusumbuliwa na tatizo la saratani kwa wiki kadhaa.

Taarifa ya ofisi ya rais iliyotiwa saini na Kaimu Rais Nangolo Mbumba kwenye mtandao wa kijamii wa X ambayo haijaweka wazi chanzo cha kifo chake imesema:-

“Ni kwa huzuni na masikitiko makubwa kuwajulisha kuwa mpendwa wetu Dkt. Hage G. Geingob, Rais wa Jamhuri ya Namibia amefariki

PICHA MBALIMBALI ZA RAIS HUYO WA NAMIBIA DKT. HAGE ENZI ZA UHAI WAKE


No comments:

Post a Comment