Na Mwandishi Wetu , Dodoma
Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania kwa kushirikiana na wadau wamekutana kupitia, kujadili na kuthibitisha rasimu tatu za uratibu wa afua za Vijana Balehe nchini.
Rasimu hizi ni mfumo wa pamoja wa ufuatiliaji na tathimini shughuli za vijana balehe katika Mwitikio wa UKIMWI, Mpangilio wa Afua za Vijana Balehe SOP na Kanzi data ya kuhifadhi afua za vijana balehe ambazo zinatekelezwa na wadau wa UKIMWI hapa nchini.  |
Baadhi ya wadau wanaotekeleza afua za UKIMWI ambazo zinawalenga vijana balehe wakiendelea na zoezi la kupitia rasimu zinazopendekezwa kutumika katika uratibu wa afua za UKIMWI kwa vijana Balehe. kikao hiki kilichofanyika jijini Dodoma tarehe 8 hadi 9 Februari 2024. |
 |
Kaimu Mkurugenzi wa Mwitikio wa Taifa Audrey Njelekela akizungumza na washiriki wa kikao cha wadau wa UKIMWI ambao wanatekeleza Afua zinazowalenga vijana balehe kilichofanyika tarehe8 hadi 9 jijini Dodoma |
 |
Dkt. Julius Sipemba kutoka shirika la THPS. akiwasilisha maoni yaliyotolewa na moja ya kundi ambalo lilishiriki kwa ajili ya kupitia Mpangilio wa Afua za Vijana Balehe SOP lengo ikiwa ni kuhakikisha nyenzo hiyo inakuwa na maoni ya wadau wote. |
No comments:
Post a Comment