Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) imeshiriki katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2024 iliyofanyika katika Viwanja vya Chamwino Jijini Dodoma ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dorothy Gwajima.
Friday, March 8, 2024
New
MATUKIO KATIKA PICHA ; Ofisi ya Waziri Mkuu yashiriki Siku ya Wanawake Chamwino Dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment