Matukio katika picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshirikia Mazishi ya Kitaifa ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili hayati Ali Hassan Mwinyi leo tarehe 2 Machi, 2024 katika Uwanja wa Amani Zanzibar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali.
VIONGOZI MBALIMBALI WAKIWASILI KUSHIRIKI MAZISHI YA KITAIFA YA HAYATI MWINYI ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment