| Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akisalimiana na Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka wakati akiwasili Bungeni tayari kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya ofisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/25. |
No comments:
Post a Comment