BAJETI YA OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA 2024/25 YAWASILISHWA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, April 21, 2024

BAJETI YA OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA 2024/25 YAWASILISHWA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akiwasili Bungeni tayari kuwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2024/25.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akisalimiana na Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka wakati akiwasili Bungeni tayari kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya ofisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/25.

No comments:

Post a Comment