Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 27, 2024 jijini Dar es Salaam amekutana kwa mazungumzo na Ujumbe kutoka Uganda ukiongozwa na Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa nchi hiyo, Mhe. Ruth Nankabirwa Ssentamu kuzungumzia masuala ya Nishati kati ya nchi hizo (Picha na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu)
Saturday, April 27, 2024
New
DKT. BITEKO AKUTANA NA WAZIRI WA NISHATI WA UGANDA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment