Kuelekea mchezo wa mkondo wa pili wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, mchezo kati ya Mamelod Sundowns FC dhidi ya Yanga SC viingilo vya mchezo huo vimetoka.
Ambapo kwa mashabiki wanaosafiri kwenda Afrika Kusini kwenda kuutazama mchezo huo utakaopigwa katika dimba la Lucas Moripe jijini Pretoria nchini Afrika Kusini.
Kingilio cha mchezo huo vimetolewa na klingilio cha chini kabisa ni shilingi Elfu 3 (3000 TZS) za kitanzania sawa na Rand 20 kwa hela ya Afrika Kusini.
Mchezo ujao wa Yanga dhidi ya Mamelodi utakuwa ugenini, Aprili 5 2024.
No comments:
Post a Comment