Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Nishati unaendelea asubuhi hii bungeni Jijini Dodoma katika Mkutano wa Kumi na Tano Kikao cha Kumi na Nne
Mjadala huo ulianza jana kufuatia Hoja ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Shilingi 1, 883, 759, 455, 000 kwa mwaka fedha 2024/2025 kwa ajili ya matumizi ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake.
No comments:
Post a Comment