📍SOMANGA
Zoezi la Urejeshaji wa Miundombinu ya Barabara Kuu ya Lindi - Dar es Salaam katika eneo la Somanga Mkoani Lindi ukiendelea, ambapo timu ya wataalam kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) wanasimamia zoezi hilo kikamilifu ili kuruhusu mawasiliano kurejea kwa haraka.
No comments:
Post a Comment