Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb), akimpongeza Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), baada ya kujibu hoja za wabunge wakati wa kuhitimisha mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali ambapo jioni, 26/6/2024, wabunge wote watapiga kura, jijini Dodoma. |
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb), akimpongeza Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), baada ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kujibu hoja za wabunge wakati wa kuhitimisha mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali, jijini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment