Klabu ya Azam FC baada ya mazungumzo ya kina kati yake na timu ya MC Alger timu hizo zimefikia makubaliano ya uhamisho wa kiungo mshambuliaji wa Azam FC Kipre Junior (24) kuuzwa kwenye timu hiyo.
Kama alivyotipoti awali “Felix Jason” Mkataba wake na Azam ulibakia mwaka mmoja na hakutaka kuongeza mwingine.
#UsajiliNBC
No comments:
Post a Comment