MBINU POTOFU ZA ASKOFU ZAGONGA MWAMBA. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, June 10, 2024

MBINU POTOFU ZA ASKOFU ZAGONGA MWAMBA.


Mhubiri mwenye utata kutoka Kakamega nchini Kenya, Askofu Joshua ambaye amekuwa akichukua vichwa vya habari kwa mbinu zake za uponyaji zisizo za kawaida, ametetea matendo yake na kuwapinga wakosoaji wake.


Katika video iliyosambaa kwa kasi mtandaoni mnamo Februari mwaka huu, Askofu ambaye siku zilizopita alirekodiwa akigusa sehemu za siri za wanawake mmoja, alisema kwamba hakuna mtu anayepaswa kumfundisha kazi yake.


"Ninafanya ukombozi mwingi kwa wafuasi wangu," alisema Askofu Joshua katika mahojiano na chombo kimoja cha habari (online TV) na kuongeza kuwa. 


"Humfanyii uponyaji mtu mwenye matatizo ya tumbo kwa kupaka mafuta kichwani, inabidi upake mafuta ya upako mahali palipo na maumivu," alisema Askofu Joshua. 


Askofu huyo alidai kuwa alikuwa akiwasaidia wanawake hao kukabiliana na changamoto za ndoa na kwamba hakuwa na nia mbaya dhidi yao, alisisitiza kuwa ana mke na watoto na kwamba alikuwa mwaminifu kwa familia na imani yake.


Pia alisema kuwa alirekodi video hizo na kuziweka kwenye mitandao ya kijamii ili kuuonyesha ulimwengu uwezo wa Mungu na kuvutia wafuasi wengi zaidi.


Hata hivyo, si kila mtu alikubaliana na kauli yake, wakenya wengi walieleza kukerwa na kuchukizwa na vitendo vyake, wakimtuhumu kwa kuwadhulumu na kuwanyonya wanawake walio katika mazingira magumu hasa kiuchumi. 


Wapo waliotaka akamatwe na kufunguliwa mashtaka, huku wengine wakiitaka serikali kudhibiti shughuli za viongozi wa dini.


Miongoni mwa walioathirika zaidi na kashfa ya askofu huyo ni waume za wanawake waliopitia katika ibada hizo, baadhi yao waliripoti kuhusu kusalitiwa, kufedheheshwa, na kukasirishwa na wake zao, huku wakilalamika kupoteza uaminifu na ukaribu katika ndoa zao.


Kwa bahati nzuri, ilipatikana njia kwa waume hao kurejesha furaha katika ndoa zao, ni baada ya kufika kwa Kiwanga Doctors, kikundi cha waganga wa kienyeji ambao wamekuwa akisuluhisha migogoro yote ndani ya ndoa na mahusiano. 


Baada ya waume hao kufanyiwa tiba na Kiwanga Doctors, wake zao walianza kutulia ndani ya ndoa na kuacha kufuata mafundisho potofu ya Askofu Joshua. 


Wewe unayesoma ujumbe huu, usimruhusu kina Askofu Joshua kuharibu ndoa yako, chukua hatua leo na uhakikishe mambo yanakuwa sawa. 


Wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +255763926750 au +254769404965 au maelezo zaidi tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com.

No comments:

Post a Comment