DKT. YONAZI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, July 16, 2024

DKT. YONAZI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI



Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Thobias Makoba katika Ofisi yake Jijini Dodoma tarehe 16 Julai, 2024.



No comments:

Post a Comment