
Katibu Mkuu wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Mohammed Khamis Abdulla akikabidhi Ofisi na vitendea kazi kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry William Silaa (Mb) mara baada ya kuwasili katika Ofisi ndogo za Wizara zilizopo jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2024.



Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amewasili katika ofisi ndogo za Wizara mara baada ya kuapishwa Ikulu na kupokelewa na Naibu Waziri, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) tarehe 26 Julai, 2024.
No comments:
Post a Comment