Naitwa Wilium kutoka Kakamega, Kenya. Nilipofikisha umri wa miaka 21, Mama yangu alinifukuza nyumbani, akaniambia niondoke nikajitafutie vya kwangu mwenye niache kumtegemea na isitoshe mimi ni mtoto wa kiume napaswa kupambana na maisha.
Nikawasiliana na rafiki yangu mmoja ambaye aliniunganisha na watu wakanipa kazi ya kusajili laini za simu. Kwa siku unapewa laini tano na unatakiwa kuuza zote ili uweze kulipwa mshahara nzuri.
Siku nyingine tunapelekwa vijijini huku gari linatuacha na kutufuata jioni, hapo umepewa Ksh100 kula tu. Ilikuwa ni kazi ngumu sana ambayo ilihitaji uvumilivu wa hali ya juu sana.
Kuna siku gari lilichelewa kurudi tukatembea kwa mguu umbali mrefu, siku hiyo nilichoka na nilikata tamaa kabisa ya ile kazi. Japo nilikuwa naifanya kwa weledi mkubwa.
Mwisho wa siku niliamua kuachana na ile kazi na kwenda kutafua nyingine, ndipo rafiki yangu mmoja akanipa kazi ya kubeba abiria kupitia pikipiki maarufu kama Bodaboda ambayo kwa kweli niliona ilikuwa rahisi kwa kiasi fulani.
Kazi hii ilikuwa inanipa kipato kizuri hadi nikaweza kumsaidia Mama baadhi ya vitu. Ila kuna tukio moja lilinikuta katika kazi hii ambalo kamwe siwezi kuja kulisahau.
Ilikuwa ni siku nimerudi kazini baada ya kumaliza takribani kama wiki mbili nikiwa ndani nimelala sababu ya kuumwa. Nilipaki kwenye ukumbi mmoja wa muziki usiku nikisubiri watu wanaotoka mule nipate japo wateja wachache kabla sijarudi kulala.
Nilifanikiwa kupata wateja kadhaa ila mteja mmoja alikuwa mtata sana, kwanza alikuwa amelewa na pili alikuwa na ubishi mwingi sana. Ila kwa sababu mimi natafuta pesa potelea pwete tufanye kazi.
Akanielekeza anakokwenda nikampeleka, alinipa wasiwasi maana alionekana amelewa lakini anatuma meseji sana kwenye simu ila sikujali.
Wakati nakaribia kwake nikashangaa nimesimamishwa na kuzungukwa na washikaji kama tisa wanataka niache pikipiki niondoke au wanaichukua halafu watajua cha kunifanya.
Kwanza nimetoka kuumwa wiki mbili hata nguvu za kupigana nao sina, kiroho safi tu nikawakabidhi pikipiki, mmoja akanichapa ngumi ya usoni na sikuwafahamu hata mmoja.
Baada ya kutafakari kwa muda, niliamua kwenda kwa Kiwanga Doctors ili anisaidie kurejesha mali yangu ambayo niliitafuta kwa jasho na damu.
Nashukuru walinipokea vizuri na kunihudumia vizuri tu na kunihakikishia ndani ya muda mfupi nitaipata.
Hazikupita siku tatu, nikiwa nyumbani niliona kundi la watu wakija nyumbani huko mbele yao wakiwepo vijana watatu ambao walikuwa wamezingirwa na nyuki. Vijana hao ndio waliokuwa wamenipora pikipiki yangu.
Walilia sana kwa uchungu maana nyuki wale walikuwa wakiwauma hadi kuvimba miili yao.
Nilichukua simu na kuwapiga Kiwanga Doctors ambao walitoa maelekezo ya kufanya ikiwa ni pamoja na wezi hao kulipa faini.
Baada ya kutekeleza matakwa yao, ndipo nyuki wale wakawaachia nami nikachukua pikipiki yangu.
Kwa simulizi zaidi tembelea tovuti yake www.kiwangadoctors.com au mpigie Kiwanga Doctors kwa namba +255763926750 au +254769404965 ili kupata huduma ya changamoto yoyote unayokutatiza maishani.
No comments:
Post a Comment