Naibu Katibu Mkuu Mutatembwa aongoza kikao ch kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi ya Kisekta katika eneo la Msomera na Saunyi - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, July 18, 2024

Naibu Katibu Mkuu Mutatembwa aongoza kikao ch kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi ya Kisekta katika eneo la Msomera na Saunyi



Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Bw. Anderson Mutatembwa ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kilichopokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi ya Wizara za Kisekta katika eneo la Msomera na Saunyi, Tanga. Kikao hicho kilifanyika tarehe 18 Julai, 2024 katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Jijini Dodoma





No comments:

Post a Comment