WAZIRI MKUU AKIFUNGUA MAONESHO YA NANENANE DODOMA. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, August 1, 2024

WAZIRI MKUU AKIFUNGUA MAONESHO YA NANENANE DODOMA.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 01, 2024 anafungua maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane ambayo kitaifa yanafanyika kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma,

Kauli mbiu ya Maonesho hayo ni Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.

No comments:

Post a Comment