Dkt. Yonazi aongoza kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu kusomana kwa Mifumo ya TEHAMA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, September 27, 2024

Dkt. Yonazi aongoza kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu kusomana kwa Mifumo ya TEHAMA


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu utekelezaji wa maelekezo ya mamlaka kuhusu mifumo ya TEHAMA kusomana, kikao kilifanyika terehe 27 Septemba, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dodoma

Aidha kikao kilihusisha Makatibu Wakuu ikiwemo wa Ofisi ya Rais Ikulu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utimishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI), TAMISEMI, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

No comments:

Post a Comment