MKE WA BOSI KANITAKA, NILIPOKATAA KANIPA KESI YA UBAKAJI. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, October 2, 2024

MKE WA BOSI KANITAKA, NILIPOKATAA KANIPA KESI YA UBAKAJI.


Huku duniani kuna matukio ya ajabu sana, unaweza kushangaa na kujiuliza yote haya yanafanyika kwa sababu gani, kwa faida ya nani, na huyu mtu anayefanyiwa hivyo ananufaika na kipi hasa. 


Jina langu ni Chazz, naishi Katavi ila nyumbani kwa wazazi wangu ni Manyara, mwaka 2019 nilikuja Katavi kutafuta kazi yoyote ya kufanya maana nilikuwa sijasoma na sina ujuzi wowote ule. 


Nilifikia kwa rafiki yangu ambaye miaka ya nyuma tulisoma wote shule ya msingi, nilikaa kwake kwa muda wa miezi mitatu hadi nilipopata kazi kwa Mzee moja ambaye ni mtu aliyefanikiwa sana kimaisha. 


Bosi huyu alinipenda sana kama mtoto wake maana nilimsaidia sana vitu vingi, umri wake ulikuwa umekwenda ila mke wake alionekana bado ni kijana. 


Walikuwa wanaishi wenyewe tu katika nyumba yao kubwa, hivyo mimi nikawa ni mtu watatu katika familia ile ambayo fedha kwao hazikuwa tatizo kwani watoto wao wanaoishi nje ya nchi walikuwa wanawatumia fedha nyingi za matumizi. 


Nilikuwa nafanya kazi yangu ya kutunza bustani nje, kufanya usafi ndani kisha kupika, baada ya hapo nilikaa tu na kutazama tamthilia mbalimbali. 


Cha ajabu mke wa Bosi wangu wakati mume wake anakuwa hayupo alipenda kuja kukaa wenye sofa ambalo nimekaa na kujikuta tumebanana. 


Aliendelea na mtindo huo hadi kuna siku akaanza kunipapasa pale sebleni, hadi akanitamkia kuwa ananipenda sana na analihitaji penzi langu.


Nilimwambia siwezi kufanya kitendo kama hicho, basi baada ya siku hiyo akaanza kunichukia na kunileta visa vingi mule ndani. 


Asubuhi moja ambayo siwezi kuisahau, nilikamatwa na Polisi na kufikishwa kituo cha Polisi na kuambia usiku wa jana yake nilitaka kumbaka Bosi wangu huyo.


Nilifikishwa mahakamani na kusomewa kesi ya ubakaji, baada ya miezi kadhaa nilipewa dhamana na kuwa nje kwa masharti maalumu. 


Nilirejea nyumbani kwa yule rafiki yangu, akaniambia tuwasiliana na mtu anayeitwa Dr Bokko atatusaidia kwani amewasaidia  watu wengi kushinda kesi mbalimbali. 


Basi tulimpigia Dr Bokko kwa namba zake +255618536050 na kumueleza shida yangu, alinisikiliza kwa makini sana na kunifanyia tiba yake, alinihakikishia baada ya muda sio mrefu nitashinda kesi hiyo. 


Niliendelea kwenda mahakamani kila tarehe ambaye kesi ile ingetajwa, nashukuru kweli niliweza kushinda kesi ile kwa kuonekana sikuwa na hatia yoyote.


Sikuweza kuamini daima maana Bosi wangu alikuwa mtu mwenye fedha nyingi, hivyo ingekuwa ni vigumu sana kumshinda katika kesi ile ila nikashinda.

No comments:

Post a Comment