Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongea na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, jijini Mwanza leo Oktoba 14,2024 kwenye maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru. Katikati ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu )Kazi,Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi.
Monday, October 14, 2024
New
RAIS SAMIA ATETA NA ZUHURA YUNUS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment