Bilionea David Mulokozi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mati Super Brands Limited amefanya sherehe kubwa za kuwapongeza Wafanyakazi wa kampuni yake na kufungua mwaka 2025 ambapo mamia ya Wafanyakazi ,wananchi wa mkoa wa Manyara,Viongozi wa serikali na Wafanyabiashara mbali mbali wamehudhuria sherehe hizo zenye hadhi ya kifalme zinazojulikana kama Mati Tanzanite Royal Party .
Katika Shehere hizo Wasanii mbali mbali wametumbuiza wakiongozwa na Msanii Maarufu wa Bongo Fleva Rayvanny ,Babu wa Tik Tok na Zuli Comedy.Mama Mawigi
No comments:
Post a Comment