Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (Mb) leo tarehe 8 Januari, 2024 amewasili Mkoani Rukwa na kupokelewa na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa huo Bw. Adon Selestine kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi.
Katika ziara hiyo Mhandisi Kasekenya atakagua mradi wa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga.
No comments:
Post a Comment