WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KWENYE MAOMBI MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, February 28, 2025

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KWENYE MAOMBI MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 28, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maombi maalum ya kuliombea Taifa yaliyondaliwa na Umoja wa Viongozi wa Makanisa, kwenye Viwanja wa Leaders, jijini Dar es Salaam.





No comments:

Post a Comment