
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 3, 2025. amehani msiba wa Mzee Silvin Ibengwe Mongella ambaye ni mume wa Mama Getrude Mongella, nyumbani kwa marehemu Makongo Juu jijini Dar es salaam.


Benki ya NMB imekabidhi vifaa tiba na mahitaji mbalimbali vyenye thamani ya sh milioni 15 kwa Kituo cha Afya Makole jijini Dodoma, ikiwa ni ...
No comments:
Post a Comment