
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 3, 2025. amehani msiba wa Mzee Silvin Ibengwe Mongella ambaye ni mume wa Mama Getrude Mongella, nyumbani kwa marehemu Makongo Juu jijini Dar es salaam.


Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umetoa elimu kwa wafanyabiashara wa mazao ya misitu katika eneo ...
No comments:
Post a Comment