
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akimnadi Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika uwanja wa Bombadia mkoani Singida tarehe 09 Septemba, 2025.

No comments:
Post a Comment