
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro Ndugu Ngwalu Jumanne Maghembe leo Jumanne Septemba 30, 2025 mara baada ya mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Viwanja vya Msuya Mkoani humo.





No comments:
Post a Comment