IKUNGI MASHARIKI YAMPOKEA KWA KISHINDO DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, September 9, 2025

IKUNGI MASHARIKI YAMPOKEA KWA KISHINDO DKT. SAMIA


Leo Jumanne Septemba 09, 2025, Maelfu ya wananchi wa Ikungi Mashariki wamejitokeza kwa wingi kwenye mapokezi ya Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye amefikia Wilayani Ikungi kwaajili ya kujinadi na kuomba kura wananchi kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 akitokea Mkoani Dodoma na Nyanda za Juu kusini alipokuwa kwenye kampeni hizo.

No comments:

Post a Comment