
Maelfu ya wananchi waliojitokeza Mjini Makambako Mkoani Njombe leo Jumamosi Septemba 06, 2025 kwaajili ya kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, anayeendelea na mikutano yake ya kampeni Nyanda za Juu kusini mwa Tanzania.
Mara baada ya Mkutano wake huo kwenye soko kuu la Makambako, Dkt. Samia atakuwa na mikutano mingine kwenye Mkoa wa Iringa.
No comments:
Post a Comment