UMATI WA WANANCHI WA MCHINGA KWENYE KAMPENI ZA DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, September 25, 2025

UMATI WA WANANCHI WA MCHINGA KWENYE KAMPENI ZA DKT. SAMIA



Umati wa wananchi wa Mchinga Mkoani Lindi leo Alhamisi Septemba 25, 2025 wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye ameingia siku yake ya pili ya kampeni za uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 29, 2025.


No comments:

Post a Comment