UMATI WAJITOKEZA KUMPOKEA DKT. SAMIA IGUNGA TABORA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, September 10, 2025

UMATI WAJITOKEZA KUMPOKEA DKT. SAMIA IGUNGA TABORA


Wananchi wa Igunga pamoja na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Tabora leo Jumatano tarehe 10 Septemba, 2025.

No comments:

Post a Comment