
Shangwe na furaha za wananchi wa Iramba Mkoani Singida leo Jumatano Septemba 10, 2025 wakati wa mapokezi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anayeendelea na kampeni zake Mkoani humo akitarajiwa baadae Mchana kuingia Mkoani Tabora kuendelea na kampeni za Kunadi Ilani ya CCM ya 2025/30.













No comments:
Post a Comment