
Umati wa wapiga kura na wananchi wa Ruangwa Mkoani Lindi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, anayefanya Mkutano wa Kampeni kwenye Viwanja vya Maonesho leo Jumatano Septemba 24, 2025.







No comments:
Post a Comment